Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kuweka fedha na kutoa katika Mobile Branch lililopo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Ofisa wa Benki ya CRDB akiwahudumia wateja waliofika katika banda la Benki ya CRDB wakati wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Moses Wamala akimpiga picha mteja  aliyefungua akaunti ya Benki ya CRDB katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa.

 Ofisa wa Benki ya CRDB (kulia), akiwasaidia wateja wa benki hiyo kujaza fomu.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2014

    CRDB mmejitahidi sana na mpo juu!

    La ziada muongeze Usiri wa Wateja (Customer Privacy) kwa kuwa pana maafa ymesha jitokea kwa watu kadhaa ile kitendo cha Kumdhamini Mteja aneye fungua Akaunti na kutoa Personal Details kama Account No, na SIGNATURE kumwidhinishia kwenye Fomu za maombi TAYARI CUSTOMER PRIVACY IMESHA KUWA BREACHED !

    Ni kuwa wasioaminika wanazitumia Dteials hizo wakishirikiana na Makarani wa Benki kujua taarifa za fedha za watu , ama ni akiba kiasi gani mtu anayo Benki.

    Muwe na njia mbadala zaidi ya hii ya kumjazia Makaratasi na kutoa info. wakati Mteja mmoja akimdhamini Mteja mwingine anapokuwa anafungua Akaunti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...