Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Maonesho la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba
|
Mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Janeth Widambe akipata maelezo alipotembelea Banda la Mambo ya Nje katika Viwanja vya Sabasaba
|
Wananchi wakiwa wamefurika katika Banda la Maonesho la Mambo ya Nje katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
|
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Mambo ya Nje na Taasisi zake.Picha na Reginald Philip
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...