Baada ya kuvutiwa na ubunifu wa wajasiriamali vijana wa Kitanzania wanaokwenda kwa jina la KITAA WEAR Michuzi Media Group chini ya Ankal imeona ni vyema kuwaunga mkono kwa kuweka oda kubwa ya T-shirts kwa ajili ya timu yake pamoja na wadau wa Globu ya Jamii na Michuzi TV. Wadau wengi wanavaa Kitaa Wear wakiwemo Diamond, Fid Q na mastaa wengine kibao. Kama umependezwa angalia maelezo hapo chini. Jamaa wako sharp na very professional. Siku nne tu mzigo tayari... KAZI KWAKO!
KITAA WEAR In Store Today
We got a variety of T-Shirts. Its your choice
You choose we deliver ....
Make your choice now and contact us:
WhatsApp / Viber: +255 754 310 202
BBM CHAT: 22696DDA
Skype: mwakatundu.m
E-mail: kitaajoint@gmail.com
Twitter ; Mike_Tee1
Available colors for T-Shirts are (Brown,Black,Red,Blue and White)
Mabrook
ReplyDeleteNaona hii ni fulannazzz babu mpya. Bana fanya maarifa basi na huku zifike, kama vile ziweke kwenye Amazon au ebay.Ukiniletea sampuli (janja mimi) nitakuintrodusi kwenye duka maarufu hapa Ukerewe.
Tuwa promote wajasiriamali hawa T-shirt zao ni nzuri. I hope ukifua kwa sabuni ya mti azitoi rangi.
ReplyDeleteAaa! Mzee wa Bwawa la maini Big up.
ReplyDeleteTshirt nzuir ila nyenkundo hizo HAPANA - Afrika hainonekani vizuri.
ReplyDeleteOption 1 : Iwe na boarder ya rangine nyingine.
Option 2 : Ramani ibadilishe Rangi.
Zinagaiwa Bure?!?!?! Hehehehee
How much?
Safi saana Ankel.
ReplyDeleteNimeipenda Blue.Nikiipata hiyo itachukuwa nafasi ya zangu za "Chelsea" Kuna uwezekano wa kuzinunua "on-line" kwa sisi tupo mbali au ni jezi kwa wana-Michuzi Group wakiwa kazini.Mambo mazito.
Mikidadi-Denmark
Baabu kubwa Ankal, Big Up
ReplyDeletewadau
FFU
mikonoz michuzi bado hujawacha za mikonoz kukumbatia wariii
ReplyDeleteThe mdudu,mjomba tafadhari sn naomba mniwekee yenye rangi ya bendera ya nchi yetu pendwa ya TZKwanza mm ni mzalende nguli nisie na mfano huku ugaibuni mm nimeapa kufa na majirani zetu mchwara wanaotubeza kwakila kitu wakati kwao NJAA MTU kwa bahati mbaya waliokutana nayo toka kwangu ni ya kuzijua vizuri na kiundani kabisa nchi zao The mdudu nimeshaishi K,U,B,R ndio maana nawanyima usingizi kabisaa
ReplyDeleteAnkali Michuzi wewe kweli ni Banker na Economist mzuri sana!
ReplyDeleteUmesoma alama za nyakati kwa kuanzisha mpango ambao ni wazai utakuwa umetukamata kabisa, nataka na mimi ze Michuzi Fulanazzz!!!