Sehemu ya muonekano wa banda hilo ndani ya viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya saba saba.
Wadau mbalimbali wakipita kwenye banda hilo kujipatia maelezo ya hapa na pale.
"Wageni wote wanakaribishwa kwenye banda la Diaspora..."anasema Bi Lucy Naivasha, ambaye ni meneja wa Tanzanite Account ya CRDB ambayo imeboreshwa kuhudumia vyema walio ughaibuni na hata wa hapa nyumbani. Banda lao lipo ndani ya banda kuu la Tanzania
WADAU. Jiungeni na WESTADI. Ya NSSF NA MNUTAIKE NA MUOKOE GHARAMA ZA USAFIRISHA MIILI YA WATANZANIA WANAOFIA NJE YA NCHI.
ReplyDeleteUnafungua vipi account hii ya benki?Lazima mtu awepo Dar es salaam kufungua hiyo account?Hakuna maelezo ya kutosha kwenye tovuti ya CRDB.
ReplyDelete