Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akitoa mada kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na Uhusiano kati ya nchi na nchi hususan uhusiano wa nchi za Asia na Tanzania katika semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia (CFR) wanaofanya mafunzo kwa vitendo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
|
Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Balozi Mbelwa (hayupo pichani)
|
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akifuatilia semina hiyo
|
Semina ikiendelea
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...