Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Dinah Siame Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka mpaka Dubai', Julius Juju aliyejishindia fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Habiba Shembiru Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo msaidizi wa Unilever Tanzania, Brenda Wakiagi.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dubai', Joyce Msilu aliyejishindia fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo msaidizi wa Unilever Tanzania, Brenda wakiago. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Ronald Shirima Mkazi wa Tegeta Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Matukio wa Unilever Tanzania, Nicholous John.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...