Bw. John Hocking Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa (United Nations Mechanism for International Criminal Tribunals), iliyorithi shughuli za iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR).akimuonesha Mhe. Membe Ramani ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama hiyo itakayojengwa katika eneo la Lakilaki Jijini Arusha.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Bw. John Hocking ambaye ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa (United Nations Mechanism for International Criminal Tribunals), iliyorithi shughuli za iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR). Bw. Hocking alitembelea Wizarani tarehe 10 Julai, 2014 kwa ajili ya kujadiliana na Mhe. Membe masuala mbalimbali ikiwemo mpango wa kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Mahakama hiyo katika eneo la Lakilaki Jijini Arusha.
Bw. Hocking akiagana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wizarani hapo, Balozi Irene Kasyanju

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...