Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh Mathias Chikawe atakuwa mgeni rasmi
katika ufunguzi wa kangamano la usalama wa mitandao (Cyber Defense East Africa
2014) tar 16-19 Septemba.
Wadau mbalimbali
wa sekta ya ulinzi na usalama wa mitandao wakiwemo wanasheria, wakaguzi wa
kifedha na wale wa mitandao, wataalamu wa utunzaji mifumo ya kopyuta na mitando
yake, wakuu wa vitengo vya TEHAMA wanatarajiwa kuhudhuria kongamano hilo.
Mkutano wa
ulinzi na usalama wa mitandao hufanyika kila mwaka hapa Tanzania na kuwavutia wadau
wa ndani nan je ya nchi kwa ujumla. Mwaka huu wataalumu kutoka nchi za ulaya
waliobobea katika masuala ya “digital forensic, cyber security, governance and
cyber laws” watakuwepo. Watakuwepo pia jeshi la polisi kitengo cha uhalifu wa
mitandao (Cyber-crime unit), TCRA and Legal Sector Reform”
Nafasi ni chache.
Kujisajili Tuma barua pepe kwenda registration@nrd.no or piga simu namba +255719253037
Nyote
Mnakaribishwa
This is such a nice initiative. we need this kind of effort from stakeholders. big up for NRD EA for such great job
ReplyDelete