Mbunge wa  viti maalum  Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabu Matitu  Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa  Wilaya  ya  Kisarawe mkoani Pwani,Dk Happiness Ndossi baada ya kukabidhi > mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,  pamoja na mipira ya Baiskeli  kwa ajili ya Hospitali hiyo  vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki  tano
 Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi  akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti  maalum Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabui Matiti Vullu kwa ajili ya  Hospitali ya Kisarawe pamoja na mashine mpya ya kufulia nguo  za wagonjwa na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya kubebea  wagonjwa
  Mashine iliyokabidhiwa kwa Hospitali ya Kisarawe mkoani  Pwania na Mbunge wa viti maalum, Mhe Zainabu Mattiti Vullu
 Mbunge wa Viti maalu mkoani wa Pwani  Mhe Zainab Matitu Vullu  akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli  kwa hospitali hiyo
Mhe. Zainab Matitu Vullu  akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli  kwa hospitali hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2014

    Kutoa ni moyo si ujatajiri tu, kama mbunge huyu watanzania wenye uwezo tujitume kuchangia maendeleo ya watu na taasisi zenye mahitaji zilizo karibu na sisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...