Afisa Mnadhimu namba wa Jeshi la Polisi
Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi
wa Polisi (ACP) Japhet Lusingu akitoa ufafanuzi wa mada mbalimbali
zilizojadiliwa kati ya Jeshi hilo na wadau wa Polisi Jamii Mkoa wa
Arusha katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Bwalo la Afisa wa Polisi
(Police Officers Mess) mwishoni mwa wik
Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha
Mrakibu wa Polisi (SP) Francis Duma
akitoa elimu ya Polisi Jamii katika kikao kilichowajumuisha viongozi wa
Jeshi la Polisi na Wadau wa Polisi Jamii Mkoa wa
Arusha.
Katibu wa kikao cha Viongozi
wa Polisi na Wadau wa Polisi Jamii ambaye
pia ni Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Arusha Bw. Adolph Olomi akitoa
mwongozo kwa wadau juu ya uendeshaji wa kikao hicho kilichofanyika
Ukumbi wa Bwalo la Polisi mwishoni mwa wiki.
Mdau wa Polisi Jamii ambaye pia
nin Mwanasheria wa Halmashauri ya Jiji
la Arusha Bw. Kiomoni Kibamba akisisitiza jambo wakati anachangia mada
ya Usalama mkoa wa Arusha katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Bwalo la
Polisi mwishoni mwa wiki iliyopita
Picha ya
pamoja kati ya baadhi ya viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa
Arusha na wadau wa Polisi Jamii mkoani hapa mara baada ya kikao cha
kujadili usalama kilichofanyika ukumbi wa Bwalo la Polisi habari.picha
na woindeshizza blog
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...