Mmoja wa Staff wa Azania Bank tawi la Arusha Jovin Joseph akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda la Bank hiyo katika viwanja vya Nane nane. |
Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki
ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo
walipotembelea banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane
kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini
Arusha. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...