Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabishara wa Madini Bwana J. Pattyn baada ya kufanya naye mazungumzo kuhusu madini yanayopatikana Tanzania. Balozi Kamala amemshauri Bwana. Pattyn awahimize Wafanyabiashara wenzake washiriki katika ziara ya kibiashara itakayofanyika Tanzania mwezi Novemba, 2014 inayoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji kwa kushirikiana na taasisi ya AWEX ya Ubelgiji.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA ANADI MADINI YA TANZANIA UBELGIJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...