Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa
Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo
na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani
na Tanzania.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Balozi
wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke wakati Balozi huyo na Naibu wake, John
Reyels (kulia) walipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es
Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Ujerumani na Tanzania.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiagana na Naibu Balozi
wa Ujerumani nchini, John Reyels wakati Naibu huyo na Balozi wake, Egon
Kochanke (katikati) walipomaliza mazungumzo na Waziri Chikawe ofisini kwake Dar
es Salaam baada ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Ubalozi huo na Wizara yake. Picha zote na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...