Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania na baadhi ya wateja
wakionyesha fataki kusheherekea Maadhimisho ya miaka 17 ya benki ambayo usheherekewa
kila Agosti 15. Hafla hiyo ilifanyika katika Tawi la kwanza kufunguliwa la benki hiyo la Samora
tawi, lililofunguliwa mwaka 1997.
Mkuu wa Idara ya Operesheni wa Benki ya Exim Tanzania, Eugene
Masawe (wa kwanza kulia) naMeneja Mwandamizi wa Tawi la Samora, Nancy Huggin (wa
kwanza kushoto) pamoja na wateja wa benki hiyo wakikata keki kusherehekea
Maadhimisho ya miaka 17 ya benki ambayo usheherekewa kila Agosti 15. Hafla hiyo
ilifanyika katika Tawi la kwanza
kufunguliwa la benki hiyo la Samora tawi, lililofunguliwa mwaka 1997. (Picha na
mpiga picha wetu).
Meneja Masoko Msaidizi wa Benki ya Exim Tanzania (wa kwanza kulia) Anita Goshashy akizungumza wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 17 ya benki ambayo usheherekewa
kila Agosti 15. Hafla hiyo ilifanyika katika Tawi la kwanza kufunguliwa la benki hiyo la Samora
tawi, lililofunguliwa mwaka 1997.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...