Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sita akitoa maelezo kabla ya kuanga kwa Bunge hilo katika awamu ya pili nay a mwisho ya 60 zilizobakia katika majadala wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakianza rasmi Nngwe ya Pili ya Majadala wa Rasimu ya Katiba utakaochukuwa siku sitini kamili Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma Kuanza nngwe ya pili ya mjadala baada ya kuahirishwa Tarehe 25 April 2014 kulipisha Bunge na Bajeti na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...