Ndege ya Kampuni ya Flightlink iliyowasili nchini hivi karibuni,ikiwa imeegeshwa katika eneo lake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege hii aina ya Embraer 120 inauwezo wa kubeba abiria 30 na itakuwa ikifanya safari zake katika Mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Zanzibar,Arusha na Pemba.
Muonekano wa siti ndani ya Ndege hiyo.
naomba kuelimishwa kidogo na muandishi wa habari hii, hivi mkaoa wa zanzibar uko sehemu gani ya Tanzania na pia toka lini pemba ni mkoa?
ReplyDeleteyote hiyo ni mikoa ulikua hujui....
ReplyDeleteKengine wamekosea kuandika zanzibar alafu Pemba kwahiyo Pemba sio Zanzibar au Pemba ya Msumbiji? Ndio unakuta mtu kila anayetokea Zanzibar atamuita Mpemba wengine wanatokea Unguja watu Zanzibar ni Kisiwa cha Unguja na pemba.
ReplyDelete