Home
Unlabelled
HAPO VIPI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahaha..hamna lolote
ReplyDeleteKama uhalisia haupo,basi si mbaya kuishi kwa njozi.
ReplyDeleteThe mdudu,mjomba Michuzi usiwe kama waandishi wengine mchwala coz ww ndio kio chetu cha jamii ya kitanzania hasa hasa sisi wa ugaibuni tunakuamini sn na kukuthamini kwa habari zako za chapu chapu hilo hata CNN wanakujua vilivyo,sasa najiuliza why utuwekee kitu Mwanana kama hiki then HAKINA MAELEZO YOYO MAZURI zaidi ya hapo vipi? Hapo sawa tena sawa kabisa wengine tunausongo na shirika letu tunataka kuona Madude kama hayo,,Naapa kwa mungu wangu siku ndege zetu zitakapopiga masafa marefu mpaka huku ugaibuni sitopanda ndege yoyote ile zaidi ya AIR TANZANIA au ukipenda ita Twiga mnyonge asante sn mjomba kwa hii picha ila tunahitaji maelezo ya kutosha,yaani majirani zetu mchwala wananinyima raha sn kwenye hili eneo lakini mambo mengi nimeshaanza kuwakaba koo hasa hasa jeshi letu la JWTZ kwa mambo makubwa waliofanya kule DRC KONGO yaani huku mm natembea kwa mikogo yote huku nikiwachefua hao majirani mchwala.
ReplyDeleteHapo ni ndoto ya mchana.
ReplyDeleteHapo sawa vipi ni photo-shop nini?
ReplyDeleteisije ikawa ni ya kukodi ...
ReplyDeleteTango Mike (Arusha)
That's whatta i'm talking about!!!!! Super fly!
ReplyDeleteHapo inatua wapi? Mwanza? Hizo ndoto za Alinacha. Wezi ni wezi, hata ukiwapa dhahabu, gesi ama mafuta wataiba tu ili wanunue eti RAV4 na kujenga Mbezi Beach huku nchi ikifilisika!! Hicho ndio kipimo chao cha maendeleo.
ReplyDeleteaaaaaah..wapi sioni....na sidhani...kama ni karibu labda +50....
ReplyDeleteUmeshindwa ku-photoshop kilima hicho. Hiyo ni JAL inatua Kansai Airport, Japan.
ReplyDeleteTHAT'S BEAUTIFUL, I LOVE THAT.
ReplyDeleteWhere was here? Mwanza? Do we really got such a Boeing? That would be awesome! !
ReplyDeleteLingekuwa letu ingalikuwa fahari kweli. Lakini tutaviotea tu vitu kama hivi kwa namna mambo yanavyoendeshwa bongo.
ReplyDeleteNATAKA HIYO
ReplyDeletewatu wa enzi izo ndio walikula atcl mpaka vifaa sio sasa hivi itabaki kuwa story kwamba atcl ilikuwa inaenda hadi London nonstop...........
ReplyDeleteHiyo ni nchi gani kwani ni hatari sana njia ya ndege kuwa kando kando ya maji labda ni photoshop
ReplyDelete