Home
Unlabelled
Hotuba Ya JK Kwa WaTanzania Washington DC. Aug 2, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madiaspora wa Kitanzania huko Marekani tulitegemea mtauliza maswali mazuri na yenye kujenga badala yake mnakuja na za kuleta kama:
ReplyDeleteSwali, Hivi Raisi ni namna gani ile Kesi ya Kijana wa kwanza nchini kukamatwa kule China?
Hivi kweli jamani Raisi wa nchi ambaye wewe na mimi tulimchagua wenyewe atafanya ama kushiriki biashara chafu kama ile?
Je, na wewe uliye uliza swali hilo endapo ukija kuwa Raisi wa Tanzania utajisikiaje tukikuzushia umefanya biashara hiyo?
Msiumize vichwa,alieuliza yale maswali,Dotto Malongo,yeye huwa amelewa 24Hours. Labda yeye ni teja,kwa hiyo ubongo wake umeathirika!! For future, wapeni viongozi wa jumuiya kuangalia nani wa kupewa mic, ili watu wanaosahau mila zetu kama huyu kijana wa miaka 30 kumdhalilisha Rais anaeweza kuwa baba yake au babu wasipewe heshima hiyo. Ubalozi ungeomba maswali in advance kama USA wanavyofanya,ili sisi wengine tusipotezewe muda na watu addicts who talks nonsense all the time. It's this same guy ameandika matusi kwenye blog ya Le Mutuz, na za hapa DMV. I decided to write all this sababu I'm a DMV resident,it's about time for our community kukataa kuonekana kwamba wote akili zetu ndivyo zilivyo. Kwa nguvu zetu zote,hawa wenye tabia mbovu wakemewe,na sio kushabikiwa. We respect our elders,our leaders above all we love our Tanzania soo much. Tuchangie mawazo na mali kusukuma gurudumu la maendeleo,pale penye tofauti,tukae chini tuongee kwa kuheshimiana.
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI AFRICA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA
tatizo la serekali yetu ya TZ inataka kufanya biashara. Biashara ya serikali ni kukusanya kodi na kuzielekeza katika huduma za jamii, ulinzi na usalama, miundo mbinu, nk. Sasa serikali inataka kufanya biashara ya gesi. Huku US kama fedha unayo wanauza vitali katika minada unalipia na kama hujafanya development yeyote serikali inakipiga mnada tena baada ya muda uliopewa kukiendeleza. Sasa huu mpango wa serikali kukusanya asilimia 70% na mwekezaji 30% baada ya kurudisha fedha yake kweli hainiingii kichwani. Mfano mdogo wa oil and gas ni kama vile chupa ya soda ikitingishwa na ukiitoboa gesi inatooka na mwisho inaisha kweye gesi na iol unadeploy secondary methods of recovery. Swali kama mimi ni mwekezaji tukifika hatua hii jee na mapato yangu 30% nani atatoa mtaji?sijawahi kuona mtu mwenye 30% ndio anatoa capital. Mambo mengi tuu bongo mfano mwingine huohuo umeme mtumiaji anatakiwa kununua nguzo za umeme. Kweli kama nguzo nimenunua sasa na mimi ni share holder wa TANESCO. Unavuta nguzo kumi hadi nyumbani kwako na unatumia fedha kibao alafu jirani unatelezea kutokea kwako bila wewe kulipwa na ulinunua nguzo. What kind of management walionao TANESCO. Hizo nguzo si operational cost ya TANESCO sio ya mtumiaji. Ngoja Bro Michuzi niishie hapa kwa leo ila usibanie hii comment.
ReplyDeleteComments mbili za juu hapana shaka zimetolewa na timu iddi na ni za kuweweseka next time andikeni na majina yenu hapa tuwaumbue. Tarehe 9 August 2014 ni kiama chenu dogo libe anawakosesha usingizi
ReplyDeleteFreedom of speech,people can ask whatever they want, kiwete is not above the citizens ,ameajiriwa na kila mtz hivyo watanzania ndo maboss wake
ReplyDeleteI would like to know how did you fight corruption,then how is the poverty level has decreased, how much private jobs has been created
ReplyDeleteMtanzania anaeishi nje ya nchi kwa hiyari yake anakosa sifa ya kuuliza maswali hayo ya corruption, poverty and job creation.
DeleteUmekimbia nchi halafu unadhani nani ajenge nchi kupambana na corruption, poverty na employment?
Kutumia hekima wakati wote unapoongea ni kitu muhimu sana. Ndiyo maana hata Globu ya Jamii inatuonya kuhusu kuchafua hali ya hewa.
ReplyDeleteMliocomment wa kwanza na wa pili mnaishi dunia ipi?............. Aliye sahihi ni huyo aliyecomment watano.....Freedom of speech....
ReplyDeleteMichuzi umebania comment yangu, Hivi kweli Wa-Tanzania tuna uhuru wa kuongea. Halafu Raisi anasema tunachangia hoja zisizo na maana kwenye mitandao.Mwanataaluma na Mwanadiaspora-Sweden.
ReplyDelete