Waziri wa Maendeleo Jamii Jinsia na Watoto Mh Sophia Simba akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi iliyo andaliwa na NGO ya Angels Moment Co. ltd kwa ajili ya kumkomboa mwanamke wa Kitanzania uzinduzi huo umefanyika katika Hotel ya Dodoma.
Mkurugenzi wa Angels Moment co. ltd Naima Malima akisoma risala ya kuelezea madhumuni ya uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wabunge na pamoja na baadhi ya Mawaziri
Burudani kidogo mara baada ya kufanyika kwa uzinduzi.
Waziri wa Maendeleo Jamii Jinsia na Watoto Mh Sophia Simba akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi mzima kwa Angels Moment co. ltd mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya mwanamke na uchumi,iliyofanyija jana mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wanawake ni muhimu kujiinua kiuchumi kwa kujishughulisha na miradi au kazi yenye mapato. Kuishi bila mpango wowote katika dunia ya leo yenye maisha magumu si sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...