Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi ,MUWSA wakishiriki kupokea Mwenge wa Uhuru ulipotembelea eneo hilo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa ,Rachel Kassanda akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika tanki la Maji la Longuo A.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akifungua maji kuashiria kuanza kutumika kwa maji yanayotka katika tanki la Maji lililozinduliwa.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akibeba maji baada ya kuzinduliwa kwa tanki la Maji la Longuo A. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...