r1
Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo na viongozi wa Taso mara baada ya kunyakua  ubingwa katika maonyesho ya kanda ya kaskazini kwa upande wa Sekta ya Mawasiliano na habari katika viwanja vya nane nane Themi jijini A rusha
 
b
Meneja masojo wa Tan Communication media Bi.Sarah Keiya akiwa na timu yake kutoka Redio 5 wakiwa wamebeba zawadi ya mbolea kwa washindi katika maonyesho hayo ambapo  pia walitoa baskeli mbili
aMtangazaji wa Redio 5 Hilda Kinabo wa kipindi cha mishe mishe akiwa anafurahia kikombe  walichoshinda baada Redio hiyo kushika nafasi ya kwanza katika sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...