Baadhi ya wana Bongo Dansi wakiwa katika picha ya pamoja na bendi ya vijana jazz wakati wa kusherehekea mwaka mmoja wa kundi hilo tangia lianzishwe kwenye mtandao wa kijamii wa facebook ambapo kundi hilo mpaka sasa lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali wa muziki wa dansi nchini. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
KUNDI LA BONGO DANSI LA SHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA KUANZISHWA KWAKE NA VIJANA JAZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa nini mnapotosha lugha adhimu ya Kiswahili? Neno 'tangia' maana yake nini? Kwenye Kiswahili hilo neno haliko, na nadhani neno sahihi lilipaswa liwe 'tangu' au 'tokea'. Sio sahihi hata kidogo kutumia vilugha vya kwenye vijiji vyenu kwenye huu uwanja mpana wenye hadhi ya kimataifa.
ReplyDelete