Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi
wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa
masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia
ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari,
Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw.
Cosmas Mwaisobwa wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...