Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus
Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.
Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus
Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi
mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...