Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edga Senga akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr. Florence Turuka kuhusu masuala ya Maafa alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika Mkoani Dodoma, Tarehe 3 Agosti, 2014.
Mratibu Msaidizi wa Tovuti ya TAYOA Bw. John J. Mindu akimweleza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florence Turuka kuhusu tovuti ya vijana ya vijanatz. Com inayoelezea masuala ya Biashara, Afya, Ajira kwa vijana ili waweze kujiendeleza, wakati alipotembelea Banda hilo katika Maonesho   ya Wakulima NAne Nane tarehe 3 Agosti, 2014. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...