Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari (wa pili toka shoto) akiwa ni miongoni mwa wawasishaji wa mada katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari (katikati) akichangia mada iliyosema "The Fundamental Role of Education and Skills ,addressing the Challenge of Youth Education " katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia ambapo Mh Nassari alikuwa ni miongoni mwa wawasilishaji wa mada. Wengine ni Waziri Msaatfu wa Mambo ya nje wa Liberia na baadhi ya maofisa wa Benki ya Dunia ambapo Nassari pia alipata fursa ya kukutana na rais wa Benki ya Dunia kwa maswala ya Afrika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...