Home
Unlabelled
Mhe stephen masele aongelea mpango wa rais obama wa viongozi vijana wa afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni lini changamoto za Afrika zitajadiliwa na kusuluhishwa Afrika?? Huu ni kama mchezo wa kuigiza, Obama anamaliza muda wake, na focus yake ni Taifa la Marekani tu!! Tusitegemee kupata kipya kutoka Washington, changamoto zetu tuzijadili hapa hapa Dodoma au Dar, huko nje watu waende tu kutalii na kufanya shopingi!
ReplyDeleteJuzi juzi tu hapa DSM viongozi wa Afrika wastaafu walikuwa wanalalamikia mataifa makubwa kutotilia maanani mipango yetu, leo hii tunaendelea kuwa na mentalite hiyo hiyo kwa vijana wetu kufikiri suluhisho ni huko nje! Jamani, wenzetu na wenyewe wana changamoto zao. Tukae hapa nyumbani, tupange kwa kutumia hazina zetu (watu na rasilimali asili) ili tusonge mbele!!
True
DeleteHaki ya mungu mdau wa kwanza una mawazo kama yangu na nakuunga mkono mia kwa mia....we subiri tu nimalizie nondo zangu huku ughaibuni kisha narudi kuongeza kasi ya vijana....fikra mpya hari mpya.....tunaweza ....tukiamua kama vijana....
ReplyDeleteUmesema ukweli mtupu, mtegemea cha jirani atakufa maskini.
ReplyDelete