Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio eneo linalofaa Uwekezaji wa Hoteli kubwa ya Kimataifa lililopo Ukonga, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa PPF amefanya mazungumzo ya Awali na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza kuhusu Uwekezaji katika maeneo ya Jeshi la Magereza leo Agosti 11, 2014 Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini John Casmir Minja akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio(kulia) mara tu baada ya kufanya mazungumzo ya Awali kuhusu Uwekezaji katika maeneo ya Jeshi la Magereza katika Mikoa ya Dar es Salaam na Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa PPF amefanya mazungumzo hayo leo Agosti 11, 2014 Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...