|It's now official launched".....Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni wakifurahi pamoja baada ya uzinduzi rasmi wa jarida hilo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akikata keki maalum iliyoandaliwa kusindikiza uzinduzi huo.
Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa jarida la IRIS Executive. Kutoka kushoto ni Ofisa uhusiano na raslimaliwatu wa IRS Exexcutive, Beatrice Silayo, Jokha Sadiki, Ofisa Mtendaji Mkuu waKituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni, Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb),Mhariri Mtendaji wa jarida la IRIS Executive, Mike Mina, Meneja Masoko wa jarida la IRIS Executive, Alinda Henry na Ofisa anayeshughulikia masuala ya Fedha wa jarida la IRIS Executive Bw. George Saltai.






Biashara yenye faida na kutengeneza utajiri kwa njia za halali ni mapambano ya juu na chini ikitaka uwe makini kujua mambo yanavyokwenda na kujua kuyakabili. Mfano jamaa mmoja Afrika Kusini alisema mwaka 1995 aliamua kununua shamba kubwa alipolinunua alkuta kunawafanyakazi wa kulipwa kila mwezi na gharama za uendeshaji, ingawa masoko ya bidhaa zake yalikuwepo kuchelewa kulipwa na makampuni kulimtoa jasho kwa sababu ilibidi aendelee kulipa mishahara na gharama zingine mpaka alipolipwa baada ya muda aliona auze lile shamba.
ReplyDelete