Naibu Spika Mheshimiwa Job Ndugai akiwa na waheshimiwa Saleh Ahmed Pamba, (Pangani),Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia) walipokuwa kwenye ziara ya kikazi nchini Malaysia. Katika picha ya pamoja na Afisa wa Bunge, Afisa wa Ubalozi Bwana Dismas Assenga na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima.
Home
Unlabelled
NAIBU SPIKA ALIPOKUWA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MALAYSIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...