Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha.
Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nakumatt Holdings Ltd,Atul Shah akiangalia bidhaa mbalimbali kwenye Supermarket mpya ilifunguliwa eneo la TFA jijini Arusha.
Wafanyakazi wa duka jipya la Nakumatt jijini Arusha waki 'pose' kwa picha ndani Supermarket hiyo ambayo ni inaungezea hadhi mji wa Arusha ambao ni kitalii na taasisi za kimataifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama kuna fursa za kusupply baadhi ya bidhaa kama mboga matunda etc.vijana mfuatilie kujua jinsi ya kuorodheshwa. Msizubae kama kuna uwezekano muandikishe kampuni ili mujumuishwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...