Ngoma ya "Wahoi" iliyomtoa Malkia wa Mipasho Khadija Omar Kopa enzi hizoo
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Akhsante Bi Khadija kopa nakumbuka enzi hizo ulikuja high speed na kibao chako cha mwanzo kabisa 'Kadandie' kufuatiwa ni vingi vinginevyo.
ReplyDelete"Wahoi" muziki umetulia unaochezeka pasina kububujikwa na jasho, kadhalika ujumbe ulilenga. Nadhani enzi hizo zikiimbwa nyimbo hizi, was starting point for the Taarab music paving the way for 'Modern' Taarab, ambayo kwa sasa hivi ndio iliyoshika hatamu na kwa kasi zaidi. Akhsante kwa kutuburudisha wa enzi hizoooo.