Fatuma Misango mwenye mtandio mweusi kichwani akizungumza na mmoja wa wanawake waliotendwa.
-------------------------
Mwandishi HANNAH MAYIGE, wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT, anaangazia safari ngumu ya mwanaharakati mwanamke mzaliwa wa Namtumbo, Mratibu wa Kituo cha wasaidizi wa sheria Songea, Bi. Fatuma Misango katika harakati za kupigania haki za wanawake, watoto na kupinga ukatili wa kijinsia.
“Mimi naitwa Fatuma Misango, ni Mratibu wa kituo cha wasaidizi wa sheria kiitwacho Songea Paralegal Center (SOPCE),” Bi Fatuma alianza kujieleza kwa mwandishi wa makala haya ofisini kwake mjini Songea.
Bi. Fatuma Misango anasema yeye ni mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma, mwenye umri wa miaka takribani hamsini sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...