Ndugu zangu WanaDMV, mimi Harriet Shangarai nakuja mbele yenu kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi ili kushiriki katika zoezi la kidemokrasia -
Kupitia kura, sauti za wanaDMV zimesikika.
Ushirikiano na Upendo mlio onyesha ndio msingi utakaotuletea maendeleo ya kweli.
Mbele yetu tuna kazi kubwa, lakini kwa moyo mliyoonyesha nina imani tutaweza.
Asanteni saana.
Palipo na Umoja pana Ushindi. PS
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...