Kitengo (madarasa) cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, shule ya msingi kibamba.
Kitengo kimejengwa na Bw Rupin Rajani wa Rajani Group kupitia DSM Mentally Handicapped Children Support Group.
Kibao kinacho onesha wafadhili wa kitengo hiki.
Bw. Rupin Rajani na wanachama wa DSM Mentally Handicapped Children Support Group nje ya darasa moja wapo.
Bw. Rupin Rajani ndani ya darasa lenye wanafunzi wenye ulemavu wa akili katika shule ya msingi Kibamba, pamoja na waalimu wa elimu maalum na Mama Evelyne DSM Mentally Handicapped Children support Group.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...