Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akimuonyesha mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Askari Feki aliyekamatwa hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Afande Kova, taarifa yako ni rahisi kusoma na kuelewa kwa sababu imeandikwa vizuri kwa herufi ndogo. Wale wa Mbeya nao wangefanya hivi ingependeza.

    ReplyDelete
  2. I am sorry Mzee Kova, Jeshi la polisi bado hamjakaa sawa.Iweje mtu aweze kusimama barabarani in the eyes of the public na kuendesha utapeli for over a month bila kushitukiwa?

    ReplyDelete
  3. nahisi aliwahi kuwa askari kwenye kitengo tajwa. vitu alivyokamata navyo nyumbani na kwenye gari inaonekana alikuwa amejiandaa. vyote ni barabara kwa kazi. inawezekana alikuwa anakwapua huko taratibu ili vije vimsaidie siku moja kwa kazi ya kitapeli akiwa nje ya jeshi hili

    ReplyDelete
  4. huo ni ugumu wa maisha unapelekea kutumia fursa hiyo

    ReplyDelete
  5. Jambo la kujiuliza ni kwanini wapende kuwa feki kwa upande wa traffic na wala sio f.f.u hapa kuna jambo viongozi wa jeshi la polisi kuweni makini na idara ya traffic inaonekana kuwa fursa kubwa ya rushwa kuliko sehemu nyingine

    ReplyDelete
  6. Mm mawazo yangu jeshi la polisi askari wote waingizwe kwenye sisystim na kuwe na wakaguzi wa trafiki ambao wanazunguka wakimuona askari wana wasiwasi nae wanaingia kwenye system pale pale wanazisoma number za askari wanaingiza kwenye mtandao maelezo yote yanakuja

    ReplyDelete
  7. Imaaaaaa polisi

    ReplyDelete
  8. Hawezi kuwa na vitu vyote hivyo hasa sare za polisi ambazo mnakiri ni zenu bila kuwepo na polisi wengine wanaoshirikiana nao. Ni vema mkambana ili ataje na wengine wanaoshirikiana nao.

    Kwa kuwa matukio haya ni mengi imani yetu kwa trafiki wanaotusimamisha hasa wale wanaokaa maeneo ya porini itapungua. Kama hapa mjini kwenye system nzima mtu anapiga dili hizo bila kukamatwa...je wale wanaotusimamisha porini na tochi zao je? inawezekana kabisa nao ni feki. Kamanda Mpinga kazi unayo.

    ReplyDelete
  9. Ok this is what got to be done ninyi wabongo,all this happens coz the traffic officers are the piers when it comes to corruption,this wis what gotta be done,no trafiic officers would be allowed to be standing around and stopping cars for violations, traffiic officers should be asigned in either vehicles or motorcycle equipped with cameras and should always flash lights in order to to do a traffic stop and while all the interaction being recorded, this will eliminate the criminal acts of traffic officers collecting money for themselves instead of enforcing traffic laws as well will eradicate the possibility that some corn artist just like this one to go around to corn people

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...