 |
Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro
wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye
mtambo wa kupozea umeme. |
 |
Mafundi wa Tanesco wakiandaa pipa kwa ajili
ya kuwekea mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye
Transforma. |
 |
Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro
wakijaribu kuelekeza mafuta yaliyokuwa yakimwagika kuingia katika
pipa. |
 |
Mafuta yakiwekwa katika
Pipa. |
 |
Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro
wakijaribu kurudishia mafuta katika mitambo ya kupozea
umeme. |
Mitambo ya kituo kidogo cha kupozea Umeme cha
Bomambuzi mkoani Kilimanjaro kilipata hitilafu
kwenye waya mkubwa wa kupitishia umeme kutoka
kwenye transfoma,hitilafu iliyosababisha moto
uliounguza waya huo na baadaye baadhi ya
nyanya kuangukia kwenye bodi ya transfoma kisha mfuta yakaanza
kuvuja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...