WATANZANIA WA NEW JERSEY, NA MAENEO YA KARIBU (NY, CT, MA, PA, MD, DE)
Mnakaribishwa wote kwenye Community Barbeque ya Watanzania siku ya Jumamosi, Agosti 23, 2014, kuanzia saa tisa alasiri katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey.
Lengo letu ni kujumuika pamoja, kufahamiana zaidi na kula nyama. Kufika kwako ndio mafanikio ya jumuiko letu sote. Ahsanteni.
Home
Unlabelled
Tangazo la BBQ kwa Watanzania wa New Jersey, USA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Taswira nzuri, kuna sehemu za nchi yetu zenye mandhari kama haya lakini hazijaboreshwa ziwe sehemu nzuri za kupumzika.
ReplyDelete