


Naibu
Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba
la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta
kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji
Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.
Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya
kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...