Home
Unlabelled
ufugaji wa kisasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kazi tunayo ...
ReplyDeleteUbunifu huo, lakini sehemu hiyo haitoshi kwa huyo kuku na vifaranga vyake. Ataka nafasi ya kuingia vichakani na kula majani na vidudu, pia nauna unawanyima mwewe na kipanga riziki
ReplyDeleteHongera mfungaji mwenzangu bla shaka furaha ya mfugaji ni kupata matunda ya jasho lake
ReplyDeleteHakuna lolote mfugaji anakimbia kunguru tu vifaranga vyake vikikua kiasi cha kua si tishio tena ana waacha huru.....mie pia hufanya hivi vinginevyo kunguru weusi wanaramba vyote.............
ReplyDeleteOna sasa huu ndio ujinga na umbumbafu mkubwa na upotezaji na utumiaji wa vitu bile kufikiria. Wewe mfungaji unatapa chandarua kwa ajili ya kujilinda na umbu halafu unatimia kwa kuku. je ni maendleo au ndio nini ? serekali au watu wanatoa misaada kutusaidia halafu baadaya ya kutumia kwa matumizi yake ila tunakwenda kufanya tofauti. hapo utamlalamikia nani sio serekali bali ni sisi wenyewe. maendeleo yanaletwa na sisi wenyewe kwa kufikia na kutumia zana na vitu kwa ajili ya kazi zake zinazotakiwa kutumia ili kurahisisha mambo na pia muhimu kwetu.
ReplyDeleteWw unahakika kama Hicho chandarua kapewa na serekali, mtu unakingwa usiliwe na mbu lkn njaa inakuuma, hii kweli!!!?
ReplyDeleteMalaria haikubaliki!
ReplyDeleteAt least hao vifaranga hawaumwi na mbu
ReplyDeletemimi naona FURSA tu hapa ya kubuni vyandarua spesheli kwa ajili ya matumizi haya.
ReplyDeleteubunifu mzuri kulinda vifaranga visiliwe na kunguru mie huwa nawafunika kwenye tenga
ReplyDeleteUsikute muhusika wa Kuku na vifaranga wake, yeye yupo radhi kushambuliwa na Mbu na kujiuguza Malaria, ama kweli hawakukosea wahenga..kosa mali, upate akili. Na waishio kando kando ya mito, maziwa na bahari, wao ndo huzifanya nyavu za kuvulia, kwa mtindo hii ipo shughuli tena pevu!
ReplyDeletekama ukiangalia vizuri utaona amepunguza circumference kwasababu upande wa chini umechakaa, hivyo musidhani kuwa yeye anaamua kuumwa na mbu aokoe vifaranga. am sure kunguru wamempatisha taabu sna na kuku wake mpaka akaamua kuingia extra cost ya kuwafanya zero grazing ili atleast wakue. bigup mdau. soon watakuwa wengi.......
ReplyDelete