Makam
wa Rais Makam wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiangalia zawadi ya kinyago
aliyopewa na vijana wanasayansi duniani. Zawadi hiyo imetolewa Rais wa vijana
wanasayansi duniani, Meng Wang. (kulia), kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo.
Baadhi ya wanafunzi kutoka katika sekondari
mbalimbali jijini Dar es Salaam katika picha ya pamoja na Makam wa Rais Makam
wa Rais Makam wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, pamoja na viongozi wengine,
akiwemo Rais Mstaafu wa Awamu wa pili Benjamin Mkapa, Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo na viongozi wengine waliohuduria mkutano huo.
Makam wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa nne
kushoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya wanasayansi vijana kutoka nchi
mbalimbali duniani na wanasayansi wengine wanaohuduria mkutano wa tatu wa
vijana wanasayansi duniani. Wengine katika picha ni viongozi waliohudhuria
ufunguzi huo akiwemo Rais Mstaafu wa Awamu wa pili Benjamin Mkapa, (wa nne
kulia), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tatu kushoto),
Rais wa Wajiolojia Afrika Profesa Aberra Mogessie (wa kwanza kushoto), Rais wa
vijana wanasayansi Duniania Meng Wang (wa pili kushoto) wengine ni Profesa
Roland Obehransli na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya BG- Tanzania, Adam
Prince.
Baadhi
wa wanasayansi vijana kutoka nchi mbalimbali duniani wakifuatilia hotuba ya
ufunguzi wa mkutano wa tatu wa wanasayansi vijana iliyosomwa na Makam wa Rais
Dk. Mohamed Gharib Bilal
Makam
wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimpa zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa vijana
wanasayansi kwa upande wa Tanzania Steven Nyagonda, anayefuatilia ni Waziri wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...