Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda
kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT,
Bw. Stephen Katemba na Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT
(Zanzibar).
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akifurahia jambo na viongozi wa KAAT, Bw.
Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda
kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake mjini Zanzibar.
Rais Mpya wa KAAT, Bw. Stephen
Katemba (Katikati) akiongea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif
Ali Iddi (Kushoto) wakati walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo
nyumbani kwake mjini Zanzibar. Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa
Rais, KAAT (Zanzibar).
Bw. Bukheti Juma (Kulia) ambaye ni
Makamu wa Rais, KAAT (Zanzibar) akiongea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) wakati walipokwenda kumtembelea na kufanya nae
mazungumzo nyumbani kwake mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw.
Stephen Katemba akiwasikiliza.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akitilia mkazo umuhimu wa jamii kusaidia wazee
wasiojiweza, wakati alipofanya mazungumzo na viongozi wa KAAT, Bw. Stephen
Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda
kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake mjini Zanzibar.
Baadhi ya wanachama wa KAAT wakiwa
katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali
Iddi (Katikati).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...