Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiongea na vijana wanaoshiriki katika robofainali ya Dance 100 wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Washiriki wanaoshiriki katika robofainali ya Dance 100 wakiwa katika picha ya pamoja na majaji wa shindano hilo Queen Darleen na Super Nyamwela wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Mmoja wa Majaji wa shindano la Dance 100,Super Nyamwela akisalimiana na washiriki wa shindano hilo walioingia robofainali wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Washiriki wa shindano la Dance 100 wanaounda kundi la Wazawa crew toka Temeke jijini Dar es Salaam wakipitia mkataba wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Washiriki wa shindano la Dance 100 wanaounda kundi la Best Love toka Temeke jijini Dar es Salaam wakipitia mkataba wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Waratibu wa shindano la Dance 100 kutoka kushoto Bhoke Egina na Happy Shame wakihakiki ujazaji wa mikataba ya washiriki wa shindano hilo wakati wa semina iliyoanandaliwa na EastTV kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la sanaa(BASATA) shindano hilo limedhaminiwa na Vodacom Tanzania ambapo vikundi 16 vimeingia robo fainali itakayoanza Agosti 23 na kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...