Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza
na na waandishi wa habari kuhusu Kampeni ya Mwanamke na Akiba inayotarajiwa
kufanyika Mkoani Mwanza kuanzia Septemba 4-5, ambapo zaidi ya wanawake wajasiriamali
600 wanatarajiwa kufaidika na mafunzo hayo.

Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile akielezea
jukumu la TBS katika kuwaelimisha wanawake wajasiriamali wa Kitanzania watakaoshiriki katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi juu ya ubora na viwango katika bidhaa wanazoandaa.
Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile pamoja na Meneja wa Kanda ya ziwa wa PPF Bwana Meshach Bandawe wakifuatilia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Gold Crest kuwahabarisha kuhusu kampeni ya Mwanamke ya Uchumi itakayofanyika jijini Mwanza tarehe 4-5 Septemba, 2014 katika viwanja vya Mwaloni Kirumba Jijini Mwanza. (Na Mpiga Picha Wetu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...