Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga (katikati) akikata utepe kuashilia uzinduzi
wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC jijini Arusha hivi karibuni.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata
taarifa na matukio muhimu katika uzinduzi katika uzinduzi wa nyumba mpya
(Apartments) za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli,
Jowika Kasunga akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakarugenzi ya Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) pamoja na wafanyakazi wa Kituo hicho.
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Arusha, Mheshimiwa Catherine Magige (kushoto)
naye alijumuika na wadau mbalimbali katika uzinduzi wa nyumba mpya (Apartments)
za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).
Naona kama watu wanakunywa bia wakati wa kazi.....Vipi huo utaratibu? Inaonekana wengine watakuwa wakiendesha magari wakitoka hapo!
ReplyDeleteMdau kuwa makini na unachoongea sio kila kinywaji chenye rangi ya njano Ni bia....angalia kwa makini hapo hakuna bia watu wanapata red bull na maji
ReplyDeleteMuendelee na ujenzi wa nyumba bora zinazoweza kupangishwa kwa gharama nafuu.
ReplyDeletepriivvaaaa
ReplyDeleteSijui walichekewa wapi! Walitaakiwa mambo haya zamaaaaani. Na wangekuwa ndiyo wapangishaji wakubwa hapa Arusha. Nyumba za kijenge hakuna walichofanya tangu ziachwe na iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki. Viwanja vya michezo hata kuviona tu vinavyoharibika utadhani hakuna uongozi.
ReplyDeleteSijui tumelaaniwa?!