Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili T 273 ACX llililokuwa likitokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita mchana
![]() |
Pichani juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na kuwachukuwa waliojeruhiwa na kuwapeleka katika hospitali ya wilaya kwa ajili ya matibabu.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA |
Poleni wafiwa
ReplyDeleteHizi ajali jamani mbona zimezidi. Madereva mmepanga kutumaliza kisawasawa. Tazama ya Musoma, Morogoro na sasa Kigoma ndani ya wiki mbili tu. Kamanda mpinga tafuteni suluhu ya tatizo la ajali tunaangamia...
ReplyDelete