KAPINGA KANGOMA MWENYEKITI MPYA CCM UK - AIBUKA NA USHINDI WA
KISHINDO WA ASILIMIA 94.6% YA KURA ZOTE
HALALI.
Aanza kwa kuunda timu itakayounda upya Jumuiya ya Watanzania
UK na kuhusisha wadau wote;Azungumzia suala la uraia pacha na Rais Ajaye katika uchaguzi
2015;Kuunda Saccoss ya watanzania UK na Jumuiya ya Wanawake.Na Abraham
Sangiwa Itikadi Siasa na Uenezi - CCM – UNITED KINGDOM.
Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma akitoa nasaha na shukrani zake.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM UK Ndugu Maina Owino
akimkabidhi vifaa vya ofisi Mwenyekiti Mpya CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma.
Wajumbe, wanachama wa CCM UK na watanzania waishio uingereza
wakimsikiliza Kwa makini Mwenyekiti Mpya wa CCM Ndugu Kapinga Kangoma (hayupo
pichani).
Mwenyekiti Mstaafu Ndugu Maina Owino akipiga kura yake katika Uchaguzi
wa Mwenyekiti Mpya wa CCM UK.
Hongera Kapinga Kangoma kwa heshima uliyopewa na Wana CCM wenzako UK.
ReplyDeletePeople actually attend these meetings, plenty of time over there! England is bleeding with inflation, etc what has CCM got to do in rebuilding UK?
ReplyDeleteNdugu zangu hengereni Sana,ila mbona mlichelewa kufanya hivyo. Kapinga toka nimetoka Uk 2010 sijaona wala kusikia maendeleo mazuri ya chama zaidi ya majungu na ubadhilifu wa pesa za chama. Wengine wakitumia image za dini kujitakatifuza, nakuahauri kama yangu hakikisha unafanya Kila kitu kwa maslahi ya chama na wajumbe wake. Mungu akupe hekima na busara kwenye uongizi Wako, mwisho naomba ufuatilie majibu ya Dollar elfu sitini za opena za kampeni 2010. God bless
ReplyDelete