Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji pia Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia Bibi Sri Mulyani Indrawati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...