Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi. |
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu kuzindua dawati la jinsia. |
Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...