Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na tasnia hiyo leo
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Ujumbe wa Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam Leo
Rais Jakaya Kikwete akiitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam leo. Mwenye suti ya bluu kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Bw. Haki Ngowi ambaye pia ni blogger maarufu nchini
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Ujumbe wa Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro
New Generation of Tanzanians...WOW!...everyone is look shapu sana including J.K.....keep up the gud work
ReplyDeleteWabunifu wa mavazi Tanzania tutengeneze nguo za bei nafuu za made in Tanzania na kuzipigia debe ili tununue bidhaa zetu. Mtengeneze pia nguo za ndani zilizokuwa zinatengenezwa na viwanda vya humu nchini tumeshaulizwa kwanini zitoke mashariki ya mbali na nyinyi mpo.
ReplyDelete